Furahia Maboresho
Sasa furahia huduma bunifu zaidi za kidigitali zinazokwenda na dunia ya sasa.
- Kutoa pesa ATM: Toa hadi TZS milioni 4 kwa kadi, au hadi TZS milioni 6 kupitia SimBanking.
- Kutoa pesa tawini: Toa hadi TZS milioni 50 katika tawi lolote la CRDB.
- Kutuma Pesa: Tuma hadi TZS milioni 20 kwenda akaunti ya CRDB, benki nyingine na mitandao ya simu pia.
Usalama wa Akaunti yako
Benki ya CRDB kamwe haitakuomba OTP, PIN, au namba kamili ya kadi kwa njia ya simu, barua pepe, SMS, mitandao ya kijamii au website.
Ukipokea mawasiliano ya kutia shaka yanayodai kutoka Benki ya CRDB, usijibu—bali wasiliana nasi mara moja kupitia njia zetu rasmi.