JINSI YA KUSHINDA
Fufua Akaunti au Fanya Miamala, Ushinde hadi Tsh 200,000 kila Wiki!
Haina kipengele, kipengele labda uwe wewe tu Swahiba!
Tunatoa hadi Tsh 200,000/- kwa washindi 50 kila wiki
Ili kushinda, fanya mojawapo ya haya: Fufua akaunti yako ya Benki ya CRDB
Fanya miamala mitano au zaidi yenye thamani zaidi ya Tsh 50,000/-
Tumia mojawapo ya huduma hizi kufanya miamala:
- Simbanking
- Tembocard VISA
- CRDB Wakala