Wewe ni mfanya biashara?
Pokea malipo kutoka mtandao yote na mabenki yote
Fanya Miamala 5 au
zaidi Ushinde hadi
TZS 200,000!
zaidi Ushinde hadi
TZS 200,000!
Tumia SimBanking, CRDB Wakala au Tembocard kila wiki upate nafasi ya kushinda pesa kila wiki.

JINSI YA KUSHINDA
Unaweza kushinda hadi TZS 200,000/=, kwa kufanya miamala tu!
Fanya tu miamala 5 au zaidi yenye jumla ya TZS 50,000 au zaidi ukitumia mojawapo ya njia hizi:
- Simbanking (App na kwa kupiga *150*03#)
- TemboCard VISA
- CRDB Wakala
Jinsi ya Kushinda:
Fanya Miamala: Fanya miamala 5 au zaidi yenye thamani ya angalau TZS 50,000
Bonyeza Link: Utapokea SMS yenye link ya kucheza game, bonyeza kisha fuata maelekezo.
Cheza na Ushinde: Weka jina lako na namba ya simu iliyosajiliwa na akaunti yako kisha ucheze, kukusanya points.
Shinda Pesa: Endapo umeshinda tutakuingizia pesa kwenye akaunti yako uliyotumia kufanya miamala.
Haina kipengele, kipengele labda uwe wewe tu Swahiba.
Kuwa miongoni mwa washindi 50 wa kwanza kila wiki watakaoweza kushinda hadi 200,000 kwa kufanya miamala.