Wewe ni mfanya biashara?
Pokea malipo kutoka mtandao yote na mabenki yote
Fufua Akaunti Yako Ushinde
Mpaka TZS 200,000!
Mpaka TZS 200,000!
Fufua akaunti na uingie kwenye droo ya kushinda hadi Tsh 200,000.
Nenda tawini na kitambulisho, weka kiasi chochote.
Nenda tawini na kitambulisho, weka kiasi chochote.
JINSI YA KUSHINDA
Fufua Akaunti. Cheza Game. Shinda hadi 200,000/-
Muda ndio huu Swahiba, nenda tawi lolote lilipo karibu nawe ufufue akaunti yako na uanze kuitumia sasa.
Jinsi ya Kushinda:
Fufua Akaunti: Fufua akaunti yako kupitia tawi lililopo karibu nawe.
Bonyeza Link: Utapokea SMS yenye link ya kucheza mchezo, bonyeza kisha fuata maelekezo.
Cheza na Ushinde: Weka jina lako na namba ya simu iliyosajiliwa na akaunti yako kisha ucheze na kukusanya points.
Shinda Pesa: Endapo umeshinda tutakuingiza pesa kwenye akaunti yako uliyoifufua.
Fufua sasa, uwe miongoni mwa washindi washindi 50 wa kwanza kila wiki watakaoweza kushinda hadi 200,000.