Bima ya Magari

Maelezo

Tunatoa huduma bora, yenye thamani ya fedha yako ili kulilinda na hasara itakayosababisha uharibifu wa gari lako likipata Ajali, Wizi au Moto.Tunatoa bima kwa waathirika wa matukio hayo (third party liability).

Hizi ni aina za Bima za Magari:

Bima kubwa

  • Aina hii ya Bima inalipia hasara inayosababishwa na matukio ya moto, wizi, ajali kwa kugoganga au kupinduka na matukio mengine yanayoweza kusababisha hasara katika gari lililokatiwa Bima ya aina hii.

Bima ndogo, moto na Wizi

  • Aina hii ya Bima inalipia hasara iliyosababishwa na moto, wizi au mlipuko.

Bima ndogo

  • Bima hii inalipia hasara iliyosababishwa na mtu wa kati (third-party).

Unaweza kupendezwa na