Mkopo wa Komboa

Maelezo


Je! Mizigo yako imekwama bandarini na unapambana kuipata? 

Tunaelewa changamoto za biashara yako zikisimama kutokana na mzigo uliocheleweshwa. Ndio maana Silent Ocean (OPPO Agencies) na CRDB Bank wameungana ili kukuletea Komboa Loan, mkopo wa muda mfupi ulioundwa kukusaidia kuondoa mzigo wako kutoka bandarini na kuendelea na shughuli za biashara yako kwa urahisi.

  • Kiwango cha juu cha mkopo huu bila dhamana ni Tsh 150,00,000.
  • Kiwango cha mkopo zaidi ya Tsh 150,000,000 kitawekewa dhamana.
  • Mteja inabidi awe anaingiza mzigo kupitia Silent Ocean.

Mkopo huu unakidhi mahitaji ya mtaji ambapo Benki italipa hadi 100% ya gharama zote za usafirishaji na malipo ya kodi ya Serikali. 

Unasubiri nini? Changamkia fursa hii sasa ili upokee mzigo wako kwa wakati na biashara iendelee.

  • Mteja aliyeidhinishwa na Silent Ocean (OPPO Agencies
  • Biashara ya bidhaa zako ziwe una mzunguko wa mauzo usiozidi siku 9.
  • Mteja aliye na Akaunti ya benki ya CRDB yenye mzunguko wa fedha usiopungua kiasi cha chini ya 150% ya mkopo ulioombwa kwa miezi 12 iliyopita.
  • Tathmini ya mauzo kulingana na mzunguko wa biashara na uagizaji wa mizigo.
  • Kuwa na historia nzuri ya mikopo na "Ripoti safi" kutoka kwa Wakala wa Marejeleo ya Mikopo (Credit Reference Bureau).
  • Hakuna dhamana itakayohitajika kwa mkopo wa hadi TZS 150 milioni.
  • Mteja mwenye historia ya kukopa au kuweka amana Benki ya CRDB au Taasisi nyingine yoyote ya fedha wakati wa kutuma ombi kwa angalau miezi 12.

Unaweza kupendezwa na