Bima ya Chombo cha Moto

Maelezo

Tunatoa huduma bora ya bima, yenye thamani ya fedha yako ili kulilinda chombo chako cha usafiri kutokana wizi au hasara itakayosababisha uharibifu likipata ajali, likiibwa au likichomeka.Tunatoa bima kwa waathirika wa matukio hayo (third-party liability).

Hizi ni aina ya Bima za Chombo cha Moto:

Comprehensive

Aina hii ya Bima inalipia hasara inayosababishwa na matukio ya Moto,Wizi, Ajali kwa kugonga au kupinduka na matukio mengine yanayoweza kusababisha hasara katika chombo cha moto kilichokatiwa Bima ya aina hii.

Third-party fire and theft

Aina hii ya Bima inalipia hasara iliyosababishwa na moto, wizi na mlipuko.

Third-party only

Bima hii inalipia hasara iliyosababishwa na mtu wa kati (third-party).

Unaweza kupendezwa na