Bima
Huduma za Bima zinazotolewa kupitia Benki ya CRDB
Bima ya Chombo cha Moto
Bima maalum ili kulilinda chombo chako cha moto dhidi ya wizi au hasara itakayosababisha uharibifu
Soma ZaidiBima ya Mikopo
Hutoa bima kwa mkopeshaji dhidi ya hasara ya kifedha ambayo anaweza pata kufuatia kifo au ulemavu wa kudumu wa mkopaji.
Soma ZaidiBima Binafsi Ya Ajali
Ukiwa kazini au unacheza,upo uwezekano mkubwa wa kupata ajali na kukusababishia madhara mwilini.
Soma ZaidiUsalama wa nyumbani
Usalama wa mali kutokana na upotevu au hasara ndani ya nyumba ya mteja
Soma ZaidiBima ya Moto
Bima hii inalipia hasara iliyopatikana kutokana na majanga yanayosababishwa na ajali za Moto, Radi au Milipuko
Soma ZaidiBima ya Maisha ya Kikundi
Linda familia yako kutoka hatari zisizo na mpango na Bima ya Maisha ya Kikundi ya Benki ya CRDB
Soma Zaidi