Akaunti ya Tanzanite

Maelezo

Je wewe ni mtanzania unayeishi ughaibuni na ungependa kuweka akiba au kuwekeza nyumbani na kupata ukaribu na wapendwa wako kifedha? Akaunti ya Tanzanite ndio suluhisho lako. Akaunti hii ni maalumu kwa ajili ya watanzania wanaoishi nje ya nchi, inayowasaidia kuweka akiba, kuwekeza na kukidhi majukumu binafsi, kikazi au ya masomo kwa urahisi na haraka.

  • Hakuna makato ya uendeshaji wa akaunti
  • Akaunti inaweza kufunguliwa kwa sarafu nne: TZS, USD, GBP, na EURO
  • Akaunti inaweza kufunguliwa kupitia App ya SimBanking
  • Fursa ya Mikopo ya Nyumba (Mortgage); Ununuzi, Ujenzi, Ukarabati, Kumalizia nyuma na uthaminishaji (Equity release)
  • Viwango vya riba shindani kwenye akaunti za muda maalum (Fixed Accounts)
  • Bima ya KAVA ambayo ni BURE kwa mmiliki wa akauti na Mwenza/Wenza wake wa ndoa mpaka wake wanne
  • Kadi za malipo na njia za kidijitali zitakazokuwezesha kutumia akaunti yako popote ulipo Duniani
  • Utaunganishwa na Internet Banking na SimBanking zinazopatikana kwa masaa 27 siku saba za wiki
  • Mameneja Uhusiano watakaokuhudumia masaa 24 siku 7 za wiki.
  • Usimamizi wa Mali na Ushauri wa Uwekezaji.



  • Meneja Mahusiano maalumu kwa kila mteja anayeishi nje ya nchi

  • Gharama nafuu za kuendesha akaunti  na kufanya miamala

  • Unaunganishwa na huduma za utumaji pesa kwa urahisi na haraka

  • Unapata Huduma ya KAVA Assurance Bure (Mteja binafsi na/au mwenza wake): Bima ya Maisha TSH Milioni 5, endapo kifo kitatokea, utalipiwa gharama za kusafisha mwili hadi TSH Milioni 15.

  • Unapata riba kulingana na akiba yako

  • Kupitia akaunti ya Tanzanite unaweza kupata mkopo wa Nyumba wa muda mrefu kwa masharti na gharama nafuu

  • Unapata kadi ya TemboCard Visa Gold inayokuwezesha kufanya miamala kwa urahisi duniani kote 

  • Unapata huduma za kibenki kupitia simu ya mkononi (Simbanking) pamoja na mtandao.

  • Akaunti ni kwa ajili watanzania waishio nje ya nchi wenye umri wa miaka 18 au zaidi 

  • Nakala ya Pasipoti au Kitambulisho cha Taifa

  • Kibali cha kazi/makazi au Visa

  • Uthibitisho wa makazi mfano Bili ya maji au mkataba wa pango n.k.

  • Picha 2 za pasipoti saizi

--------------

  • Kwa mwanafunzi: Nakala iliyothibitishwa ya barua ya utambulisho au ya kujiunga na shule

Tuandikie kupitia barua pepe [email protected]

Maswali

Ndio, akaunti hiyo inakuja usajili wa bure wa SimBanking tu kwa wale ambao wanaanzisha akaunti zao wakati bado wako Tanzania

Ndio. Mteja wa Akaunti ya Tanzanite anapata mafao ya Uhakikisho wa KAVA (Self & Mke): bima ya maisha ya TZS Milioni 5 na Kurudishwa kwa mwili hadi TZS Milioni 15

Baada ya kufikia mahitaji ya mkopo, Diaspora inaweza kuomba kituo cha Rehani kwa ununuzi wa Nyumba tu.

Tembocard inaweza kutumwa kupitia barua iliyosajiliwa na au barua kama DHL au EMS

Tembocard inaweza kusasishwa kwa kujaza fomu ya maombi ya Tembocard iliyopatikana kutoka kwa Meneja Uhusiano

Ndio, kupitia akaunti yako ya Tanzanite unaweza kuwekeza katika fursa za uwekezaji wa muda mfupi na mrefu kama vile FDR na hisa nk.

Unaweza kupendezwa na