Jijenge

Maelezo

Mikopo ya Jijenge ni mikopo ya muda mrefu inayotolewa kwa wateja wa Benki ya CRDB kwa madhumuni ya kujenga, kununua au kutoa hisa.

Tunatoa kifurushi bora cha Jijenge kwa wanadiaspora wa Tanzania duniani kote kupitia akaunti Tanzanite kwa manunuzi ya nyumbani au kufadhiliwa upya kwa njia ya Equity release

  • Nafasi ya kumiliki nyumba ya ndoto yako katika kipindi kifupi bila kusubiria personal savings zako kutosheleza mahitaji ya kujenga nyumba ya ndoto yako
  • Riba nafuu
  • Mkopo mpaka kiasi: TZS 1,000,000,000/= au USD 300,000
  • Kipindi kirefu cha malipo, mpaka miaka 20
  • Uwezo wa kupangilia kipato chako na kulipia kiasi kidogo kwa mwezi mwezi kwa kipindi kirefu
  • Uwezo wa kupitia upya malipo ya kila mwezi kulipa deni lako mapema zaidi mfano; wakati kipato chako kikiongezeka

  • Akaunti ya Tanzanite
  • Mkataba wa ajira
  • Barua ya utangulizi kutoka kwa mwajiri
  • Bili ya matumizi (Maji, Umeme, kodi)
  • Nakala ya taarifa za mishahara
  • Taarifa ya benki ambapo mshahara unapita
  • Nakala ya kitambulisho cha ajira pamoja na NIDA
  • Nakala ya pasipoti na kibali cha makazi/ kazi


Kwa nyumba unayokusudia kununua utahitaji kuwa na vifuatavyo;

  • Nakala ya hati miliki
  • Nakala ya makubaliano ya mauzo/ barua ya ofa
  • Risiti ya malipo ya chini - Utahitaji kulipa 10% ya bei ya nyumba
  • Ripoti ya uthamini (Mthamini atoke kwenye orodha ya mthamini aliyeidhinishwa na Benki ya CRDB)

Maswali

Download jijenge application forms from the Bank’s website www.crdbbank.co.tz , print, fill the form and return through [email protected] . Visit any CRDB Bank branch countrywide

Unaweza kupendezwa na