Bima ya KAVA

Maelezo

Bima ya KAVA ni huduma ya bima inayotolewa BURE kwa wateja wa CRDB wenye Akaunti binafsi. Kupitia bima hii, Benki inatoa “Mkono wa Pole” pale mteja anapofariki au kufiwa na mwenza wake au kupata ulemavu wa kudumu. Mnufaika wa bima hii ni Mteja mwenye akaunti ya kawaida, Mteja wa daraja la juu (Premier Customer) na Mteja anayeishi nje ya Nchi (Diaspora)

  • Upatikanaji wa fedha kusaidia shughuli ya mazishi ya kifo cha mmiliki wa akaunti ya Tanzanite na/ au mwenzi wake TSH 5,000,000
  • Kurejesha mwili nyumbani kwa mmiliki wa akaunti ya Tanzanite na mwenzi wake hadi 15,000,000
  • Tiketi moja ya ndege ya bure ya kurudi kusindikiza mwili

  • Fungua akaunti ya Tanzanite leo ili uwe mmoja wa wanufaika
  • Akaunti yako lazima iwe inatumika, iwe ya mtu binafsi au ya pamoja
  • Akaunti yako lazima iwe inalipa ada za kila mwezi

Unaweza kupendezwa na