Standing Order

A standing order ni mfumo unao idhinisha benki kufanya miamala kwa kipindi fulani chenye ukomo, kwenye akaunti ya mteja kwa niaba ya mteja.  Ili benki iweze kufanya miamala hii, mteja anatakiwa kuidhinisha huduma hii kupitia Huduma ya SimBanking.

Miamala husika inaweza kuwa.

i.    Kutuma pesa kwenda akaunti binafsi za mteja ndani ya benki ya CRDB

ii.    Kulipia Ankara mbali mbali kama TV, Maji, Umeme nk

iii.     Kutuma pesa kwenda mitandao ya simu

iv.    Kutuma pesa kwenda benki nyingine 

v.    Kulipia Ankara za Serikali

You can request standing order through Simbanking App.

Pakua Sasa


Unaweza kupendezwa na