Benki ni SimBanking

Fanya miamala kwa wingi kupitia SimBanking upate kushinda zawadi uwezavyo
tembelea *150*03#
Miamala ya ushindi katika
SimBanking *150*03#
Mashirika ya Ndege
Bili za Maji
Malipo ya QR
Bima
Hospitali
Bahati na Sibu
Migahawa
LUKU
Tukuza
Muda wa Maongezi
TV
Timu Yangu
Malipo ya Serikali
Mashule na Vyuo
SGR
Sepa na Harrier mpyaa
a.k.a Anaconda
Fanya miamala kwa SimBanking ujiongezee nafasi ya kushinda zawadi kuu ya GARI jipya aina ya Toyota Harrier inayokuja na Bima ya mwaka mzima na wese full tank.
Pakua SimBanking App kupitia Play Store au App Store au bofya *150*03#.
Toyota Harrier ya kijani
Shinda Gari ya IST mpya kila
Miezi 2
Fanya miamala kwa SimBanking📲 ujiongezee nafasi ya kushinda GARI jipya aina ya Toyota IST kila baada ya miezi miwili inayokuja na Bima ya mwaka mzima na full wese.
Pakua SimBanking App kupitia Play Store au App Store au bofya *150*03#
Toyota IST ya kijani
Tembo Points ni Mkwanja!
Kila unapofanya miamala ya malipo kupitia SimBanking App yako unajiongezea Tembo Points ambazo unaweza kuzitunza au kuzibadilisha kama mkwanja na kuutumia unavyotaka kwenye SimBanking App.
Pakua SimBanking App kupitia Play Store au App Store au bofya *150*03#
Mteja akitumia SimBanking kukusanya Tembo Points
Hauna akaunti ya Benki
ya CRDB?
Endapo hauna akaunti na sisi, unaweza jifungulia
fasta kupitia Simbankin App.
Angalia video hiyo kwa umakini ufahamu jinsi ya
kujifungulia akaunti