SimBanking
Maelezo
Tuko nawe masaa 24, siku 7 za wiki uendako na SimBanking inayokuwezesha kufanya miamala yako kwa kutumia simu ya kiganjani muda wowote, mahali popote.
Huduma hii inapatikana kwa kubonyeza *150*03# au kwa kupakua programu ya SimBanking App kutoka App Store au Google Play
Tuko nawe masaa 24, siku 7 za wiki uendako na SimBanking inayokuwezesha kufanya miamala yako kwa kutumia simu ya kiganjani muda wowote, mahali popote.
Huduma hii inapatikana kwa kubonyeza *150*03# au kwa kupakua programu ya SimBanking App kutoka App Store au Google Play
- Kuhamisha pesa kwenda akaunti yoyote ndani ya mtandao wa benki ya CRDB.
- Kutuma pesa kwenda mitandao ya simu
- Kutuma pesa kenda benki nyingine
- Kulipia bili na malipo ya serikali (GePG) (Brela, TPA, TRA, Luku, Dawasco/Moruwasa, Startimes, SUA n.k.)
- Kulipia bima
- Mikopo ya haraka bile kufika tawini
- Kununua muda wako maongezi ama kuwanunulia wengine.
- Kutuma pesa kwa mtu asiyekuwa na akaunti benki au kadi ya ATM.
- Kuuliza salio.
- Taarifa fupi na taarifa za akaunti yako mpaka mwaka mmoja
- Kupata taarifa za matumizi ya TemboCards/Visa/ MasterCard.
- Kufunga na kufungua TemboCard yako
- Kujifungulia akaunti ya benki ya CRDB
- Una uwezo wa kujisajili.
- Una uwezo wa kubadili namba ya siri.
- Una uwezo wa kubadili lugha, Kiswahili au Kiingereza.
Usalama
Huduma ya SimBanking ni salama na uhakika. Miamala yote utakayoifanya itahitaji namba yako ya siri. Hata kama mtu mwingine akitumia simu yako hawezi kufanya miamala bila kutumia namba yako ya siri(PIN).
- Una uwezo wa kutumia akaunti yako wakati wowote, popote ulipo. Kuhamisha pesa kwa wapendwa wako bila kuhangaika.
- Kulipia bili zako kiurahisi zaidi.
- Lipa washirika wako wa biashara na wagavi wako bila wasiwasi.
- Panua wigo wa matumizi ya simu yako.
- Fanya miamala yako muda wote.
- Uwezo wa kujifungulia akaunti ya CRDB popote ulipo
- Kupata mikopo ya haraka bila kujaza fomu wala kufika tawini
- Unapaswa kuwa na akaunti ya Benki ya CRDB au fungua akaunti mpya. Unaweza kuwa na akaunti ya akiba au akaunti ya Hundi.
- Wateja wote wa Benki ya CRDB wanaweza kutumia huduma hii bila kujali wanatumia mtandao gani wa simu au aina ya simu.
- Kujisajili ni haraka na rahisi sana, tumia njia maoja wapo kati ya hizi;
- Piga *150*03# kisha fuata maelekezo ya namna ya kujiunga
- Tumia TemboCard yako kujisali SimBanking kupitia ATM zetu zilizoenea nchi nzima.
- Kama hauna TemboCard tembelea tawi la karibu yake tutakuunganisha na SimBanking.
Maswali
Uhamisho wa fedha kwenda mitandao ya Simu – Milion mbili (2) kwa kila muamala, kwenda akaunti nyingine ya benki ya CRDB – Milioni nane (8), kwenda akaunti yako nyingine ya benki ya CRDB – Milioni kumi (10) kwa siku, Muda wa maongezi – Laki mbili (2) kwa muamala, Kutoa pesa kwenye ATM (Cardless) – Milioni 1, Kutoa pesa tawini bila kujaza karatasi (Paperless) – Milioni ishirini (20)
Kupitia Usajili kwenye ATM. Sehemu ya 1 - kwenye ATM Tembelea ATM ya CRDB Ingiza kadi ya ATM na uweke PIN Chagua huduma zingine Chagua usajili wa SimBanking Chagua Mabadiliko ya Nambari ya Simu Chagua akaunti Ingiza nambari ya simu iliyosajiliwa hapo awali Ingiza nambari mpya ya simu Thibitisha maelezo Utapokea SMS na PIN ya awali Sehemu ya 2 - Kwenye namba mpya ya simu 1. Piga * 150 * 03 # 2. Ingiza nambari ya akaunti 3. Ingiza PIN ya awali – uliyo pokea kwenye SMS 4. Thibitisha PIN
Kupitia matawi ya CRDB ya Karibu bila hitaji la Kadi ya ATM.
Ndiyo. Piga * 150 * 03 #, kisha weka PIN Chagua Chaguo 2. Tuma pesa Chagua Chaguo 3. Benki zingine 4. Chagua akaunti ya kutumika 5. Andika herufi tatu za kwanza za benki nyingine 6. Chagua Benki 7. Ingiza akaunti ya walengwa, Kisha Jina la mlengwa, kisha Kiasi Thibitisha.
Unahitaji kusajiliwa kwenye SimBnking USSD (* 150 * 03 #) kisha, Pakua SimBanking App kupitia Google Play store au App Store. Kisha weka namba ya akaunti iliyounganishwa na simbanking USSD (*150*03#), namba ya simu iliyounganishwa na SimBanking USSD (* 150 * 03 #), Weka namba ya siri ya simbanking( PIN) kisha weka pini ya maramoja(OTP). Ili kupata OTP piga * 150 * 03 #, chagua 7, huduma kisha, chagua 4, usajili wa App App. Ndani ya masaa 24 utapata OTP ilikukamilisha usajili kwa kuweka namba ya simu ya SimBanking, namba ya siri ya SimBanking kisha OTP iliyotumwa kwenye ujumbe mfupi(sms).
Ingia kwenye SimBanking App, Chagua kadi ya kufunga, chagua zuia kadi kisha funga kadi
Uhamisho wa fedha kwenda mitandao ya Simu – Milion mbili (2) kwa kila muamala, kenda akaunti nyingine ya benki ya CRDB – Milioni nane (8), kwenda akaunti yako nyingine ya benki ya CRDB – Milioni kumi (10) kwa siku, Muda wa maongezi – Laki mbili (2) kwa muamala, Kutoa pesa kwenye ATM (Cardless) – Milioni 1, Kutoa pesa tawini bila kujaza karatasi (Paperless) – Milioni ishirini (20)
Ingia kwa SimBanking App
Bonyeza mipangilio
Chagua unganisha akaunti zangu zingine
Tiki akaunti hizo na ubonyeze thibitisha
Unaweza kupendezwa na
Benki Mtandaoni
Benki mtandaoni inakusaidia kufikia akaunti yako ya kibinafsi au ya biashara saa 24 popote ulipo.
CRDB Wakala
Kupitia mawakala wetu mtaani unaweza kufungua akaunti, kufanya miamala na mengine mengi
TemboCard
Lipa kwa kutumia TemboCard, ni rahisi sana