Pata TemboCard bila haja ya kuwa Akaunti ya CRDB.
Weka pesa kupitia mtandao ya simu. Fanya manunuzi popote kadi inapokubalika.
Karibu! una hitaji huduma gani?
Nini Kipya?
CUSTOMER STORIES
Maoni zaidi kutoka kwako mtandaoni
Benki ya CRDB imetumia mfumo wake wa kidijitali kupokea maoni ya wateja kwa njia rahisi na kuyafanyia kazi ili kuboresha na kutoa huduma bora za kibenki.
Soma ZaidiBEYOND BANKING
Tumeungana na wadau kuwezesha Biashara changa kupitia programu ya IMBEJU
Benki ya CRDB leo imeingia mkataba wa makubaliano na Tume ya TEHAMA (ICTC), na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kupitia programu yake ya ‘IMBEJU’ iliyojikita katika uwezeshaji wa wanawake na vijana kiuchumi.
Soma Zaidi